Nyumba za kupanga bwana duh!

sa si uingie na simu ya mchina halafu unapiga ule wimbo wa kamata chini.
 
Hahahaha hahahaha kuna mambo mengine nyumba za kupanga ni shida hapo ukijamba unasikia kichekooo na Maneno ya kejeri kama "vipi mmesikia honi hiyo treni ipo njia moja"
 
Afu ukute mmoja wapo unammendea...unaweza toka la mboto ukaenda kujisevia shely
 
Kuna wengine kukiwa na watu nje ya choo ngoma haijii kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…