jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Wadada wanasukana karibu na chooni hata HUJAMBI KWA RAHA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha we acha tuukijamba kwa sauti utasikia anaharisha
NomaWanazingua bhana.... how come?
Inakera kinomahiyo tabia huwa inanikera sana
Hahaha we jamaaa unabonge la ideasa si uingie na simu ya mchina halafu unapiga ule wimbo wa kamata chini.
Hatari mzeeHahahaha hahahaha kuna mambo mengine nyumba za kupanga ni shida hapo ukijamba unasikia kichekooo na Maneno ya kejeri kama "vipi mmesikia honi hiyo treni ipo njia moja"
Noma dadadekiAfu ukute mmoja wapo unammendea...unaweza toka la mboto ukaenda kujisevia shely
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ukijamba kwa sauti utasikia anaharisha
Sasa ukute haja ngumu hata kugugumia huwezi ,maana wakisikia tu washajua unatoa kitu kigumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa ukute haja ngumu hata kugugumia huwezi ,maana wakisikia tu washajua unatoa kitu kigumu
Umekuja hadi huku wajna pumba?Kijana umekuja kasi duh mapost ya kumwagaaaah