Ni kufahamishe tu.Kuna watu sasa wanatengeneza hizo nyumba na kodi ni ndogo kama una ka mtaji ka kufikiria unarudisha faida ondoa.Leo kariakoo fremu shingapi hapo na unaweza kumilikiNikufahamishe tu Tanzania ina upungufu wa nyumba milioni 3 na kila mwaka zinajengwa nyumba 200,000 tu. Sasa jiulize huo uhaba utaisha lini na population inaongezeka kila siku.
Msipende kutoa hitimisho kwa kuangalia mtaani kwenu tu.
Kodi ndogo labda kijijini kwenu hapa Dar na miji mikubwa yote nyumba za kueleweka kodi ipo juu na zipo chache. Unajua kodi ya nyumba ya vyumba hata viwili Sinza,Kinondoni,Makumbusho,Kijitonyama,Mwenge,Tegeta,Goba? Au unazungumzia kodi za Tamdale?Ni kufahamishe tu.Kuna watu sasa wanatengeneza hizo nyumba na kodi ni ndogo kama una ka mtaji ka kufikiria unarudisha faida ondoa.Leo kariakoo fremu shingapi hapo na unaweza kumiliki
Pacha naona una hobi ya kujenga, kuna mahali nipo natamani nikushauri uje uwekezeNikufahamishe tu Tanzania ina upungufu wa nyumba milioni 3 na kila mwaka zinajengwa nyumba 200,000 tu. Sasa jiulize huo uhaba utaisha lini na population inaongezeka kila siku.
Msipende kutoa hitimisho kwa kuangalia mtaani kwenu tu.
Tutegemee BOOM miaka 10-15 ijayo bila shaka.una point kubwa sana.
Na hii imesababishwa na ufisadi uliokisiri.
Wakishaiba mafedha huko na hawana pa kuyaweka nje ya nchi wanajaza majumba.
Real estate is oversaturated.
Nishazeeka. Njoo unishauri PM.Pacha naona una hobi ya kujenga, kuna mahali nipo natamani nikushauri uje uwekeze
😂Nishazeeka. Njoo unishauri PM.
😂Uchumi wa feremu
Nyumba za kupanga ni chache had watu wanapanga wawili wawiliFrem naweza kukubaliana na wewe, ila nyumba za kupanga hapana.
Mkuu inategemea, kwa sasa, kupanga nyumba nzima au apartment inaweza kugharimu mpaka laki nane kwa mwezi, na watu bado wanataka kodi ya mwaka mzima na zinajaa. Kingine ardhi na eneo vinaenda vinapanda thamani, bora mtu kama anaweza ajenge tu.una point kubwa sana.
Na hii imesababishwa na ufisadi uliokisiri.
Wakishaiba mafedha huko na hawana pa kuyaweka nje ya nchi wanajaza majumba.
Real estate is oversaturated.
Muache asambaze upendo hapa hapa uzini mkuuNishazeeka. Njoo unishauri PM.
Sasa unatafuta uwekezaji utakao fanya peke yako .Kuna uzi nilisema kuhusu biashara ni mda ,wakati,mapungufu na eneo.
Ila kwa sasa kila kona hakuna cha mkoani wala cha wapi ,kila mtu anatengeneza nyumba za kupangisha za kisasa au fremu zenye mvuto ambazo zina parking na gorofa.
Kama unapesa zako ndio unataka kuwekeza huku nakushauri labda angalia uje kwa stahili gani.Maana mpaka chanika ,morogoro,dodoma na katoro zipo nyingi.