Nyumba za kupanga, fremu za kisasa sio dili sasa yani kila mtu kawekeza huko

Wataalamu, nyumba ya kupangisha kama biashara inatakiwa kurudisha pesa baada ya muda gani?
 
Kwa nchi isiyo na misingi mizuri ya uwekezaji kama hii ya kwetu, bado uwekezaji kwenye real estate una low risk hata kama return yake ni ndogo, ukilinganisha na uwekezaji kwenye sekta nyingine mfano kilimo kinachotegemea mvua zisizo tabirika, nk.
 
Kwani Chanika hakuna wahitaji? Tafuta fursa popote inapowezekana.
Majuzi tumeshuhudia Send Off ya Geita, hata za Dar hazifiki hàpo.
 
Ili uingie kwenye kundi la akina Trump ni budi uwe na nyumba 1500-->+
 
Hazina umuhimu leo, ila kumbuka watu wanaongezeka
 
Nyumba za kupangisha, mara chche zinalipa break even ni muda mrefu sana ukizingatia uchakavu.... hizi zinatumiwa kuchukulia mikopo, au kama kipato cha mstaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…