Nyumba za kupanga ni mateso sana

Aya bn
 
Daah pole sana fanya uondoke tu hapo.

Kuna nyumba niliwahi panga ilikuwa ni room za ndani miaka ya nyuma kidogo basi mwenyewe kutwa kusikiliza nyimbo za taifa nasauti anaweka ya juu hasa au ya afrika mashariki au ile tazama ramani.

Kuna siku nilimuomba apunguze sauti kidogo nilimindiwa sana kuwa mimi si mzalendo.
 
Mkuu kama anamtoto wa kike hata kama sio pisi kali mpelekee moto mkeka hautatandikwa karibu na choo niamini mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…