Nyumba za Magomeni ndugu zangu mmeokota dodo!

hakuna bustani hakuna space ya kutosha hiyo bei ni sahihi. kwa nchi kama hii yetu kama una uwezo jenga kwako upate space " every living organism thrive well where there's space". Hongera wanaMagomeni kwa kuokota dodo
 
Hapana kwa kundi hili kiasi ni hicho tu ndio maana wamewekewa utaratibu rafiki hata kama kila mwezi unapeleka kama kodi sawq ilimradi tu ndani ya miaka hiyo 15 iwe imetimia.Sasa kweli mkuu kama una hiyo 48milioni cash,ndio ununue nyumba ya chumba kimoja kweli?hiyo itakuwa ni matumizi mabaya ya UBONGO.
 
Hapo ndio mtihani
Maji yatavuja kwenye kuta mpaka udondoke
Nani wa kukarabati Enzi za mwalimu ndio tulikuwa tunapiga rangi akipita [emoji1]
Sure..labda wawe wanakopa service charge otherwise Itakuwa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…