Nyumba za matajiri enzi za Malkia Victoria

Longtime mzee Bujibuji
 


Kwanini wanafamilia walikuwa hawashuki kwenda basement..!??
 
Lushoto kuna jumba moja nililiona linafanana na hilo alikua anaishi mzee mmoja hivi ni baharia.
 
ClassesπŸ˜‚πŸ˜…πŸ€£
Prime class wanajichanganyaje na the low class.
Kaeni huko uvunguni


Like huko basement ni vyumba vya kulala wafanyakazi??

Mie nilivyo mfyekuneku... nyumba yangu mwenyewe halafu nisifike eneo hilo sababu ni classes mweeeh bora tuu nnavyokaa huku mbagala chumba kimoja unafika pande zote za chumba πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜…
 
Chumbani kwako Kuna lipanya likubwa kuliko mbuzi, lipanya Bujibuji hili, linakuangaliaga ukitoka kuoga, ukiwa unapaka mafuta, halafu kesho Tena linakuja muda huohuo
 
Wazungu wameendelea kitambo sana
Inafikirisha sana hii race ujenzi wao ni ubunifu wa kila aina
Huku kwetu miundo ya majengo yote inafanana utadhani wachoraji wanaangaliziana
 
Chumba standard,master bedroom inatakiwa kuwa na ukubwa gani?
 
Wazungu wameendelea kitambo sana
Inafikirisha sana hii race ujenzi wao ni ubunifu wa kila aina
Huku kwetu miundo ya majengo yote inafanana utadhani wachoraji wanaangaliziana
Ni mifumo waliyo iweka inawasaidia. Ukisha kuwa na ajira na uhakika wa mshahara kila mwezi benki inakukopesha pesa unayoweza kununua au kujenga nyumba ya uwezo wako. Unapewa mkopo wa miaka 20-25 na ukifa deni linahamishima kwa watoto wako.

Baridi ndiyo iliwafanya wawe wabunifu, si wazungu tu hata Wareno na Waarabu nyumba ndiyo pride na muonekano wa mafanikio.
 
Huku kwetu nyumba ya m500 cha zaidi labda itakua sababu ni ghorofa tu lakin ubunifu sifuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…