Nyumba za matajiri enzi za Malkia Victoria

Ninakumbuka No Longer at Easy Okonkwo aliporudi Nigeria kutoka Ulaya alitaka kumuoa mwanamke anaevaa magauni na anaejua kupikia gas cooker, Wazazi walimtaarishia mchumba anaevaa wrapper (vitenge) ambae hajui hata gas cooker ni nini.
 
Kate ndiyo alikutana ana na William chuoni.

Ooh kumbe, basi nilipata stori chaka kuwa...

Meghan aliahirisha mwaka aingie chuo mwaka unaofuata baada ya kuona majina ya wanachuo waliokubaliwa kujiunga na chuo mwaka unaofuata mmoja wapo ni Prince.

Na mwaka uliofuata alihaha hadi akapata chumba cha hostel karibu na Prince ili aweke ukaribu na kujenga urafiki.

Kumbe ilikuwa ni Kate, thanks for clarity.
 
Hii story ni sahihi lakini si Meghan ni Kate. Huyu Mswahili wetu anaechamba wakwe zake kwenye TV alikutana na Prince kupitia marafiki.
 
Ninakumbuka No Longer at Easy Okonkwo aliporudi Nigeria kutoka Ulaya alitaka kumuoa mwanamke anaevaa magauni na anaejua kupikia gas cooker, Wazazi walimtaarishia mchumba anaevaa wrapper (vitenge) ambae hajui hata gas cooker ni nini.

Ooh sikubahatika kukisoma hicho, wakati wangu wa literature tulisoma vingine baada ya kuona watunzi wa mitihani wanarudia maswali yaleyale.
 
Hii story ni sahihi lakini si Meghan ni Kate. Huyu Mswahili wetu anaechamba wakwe zake kwenye TV alikutana na Prince kupitia marafiki.

Ooh kumbeee...

Nae kamkamata Prince pabayaaa

Kweli waafrika wamoto aahahahaha, Prince kila akipiga anasema achilia mbali ufalme, kumbe ndo tamu namna hii aahahahahahahhahaaa looh.
 
Hiyo ndiyo wanaita gothic architecture? Ila wazungu wanajua sana kujenga na tutofali twao tule tudogo. Wabongo ni wapanga tofali tu. Juu wanapiga tiles ambazo hazivuji miaka na miaka na ni rafiki kwenye joto na baridi. Dar wangekuwa wanaezekea tiles wangekuwa hawalalamiki joto kabisa.

Na kama mdau alivyosema huko juu, mighorofa haieleweki na mialuminium iliyokosa class, mi naona kama mialuminium ni ushamba kabisa. Wenzetu wanajua sana kujenga.
 
Wine cellar
 
Kuezeka kwa tiles msingi ni lazima uwe imara, ni kama unajenga nyumba nzima ardhini. Wengi wetu budget ya kujenga ni hizi milioni tano za hapa na pale unaunganisha.
 
We Kasie! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenichekesha sana Mkuu!
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…