mlaniwe wote mnaotaka kulaniana na manofikilia kulaniana wakati hizi nyumba hazituhusu ni za wahindi kwani walinyanganywa enzi hizooo nyie mmekuja juzi mjini mnazitaka , kajenge zakwenu huko kibamba
Ndugu mimi ninae andika haya ni mtumishi wa umma najua vizuri kila kitu. Hebu tuone umuhimu wa kada tajwa kwa maendeleo ya taifa hili japokuwa sina maana kuwa kada zingine hazina umuhimu.
Hivi unadhani ualimu na udaktari diyo kada muhimu zaidi ya nyingine?? Fikiri vizuri.
Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba za shirika la Nyumba hapa mjini kati ambazo kodi yake ni nafuu ni vema tungewapendelea watumishi wa serikali wa kada hizo nilizozitaja kulikoni kuwaachia wafanyabiashara wa kiasia ambao kwanza wanakipato kikubwa na wana uwezo wa kukaa sehemu yeyote bila kuathirika kimaisha kutokana na sehemu kubwa ya kipato chao kutumika kwa usafiri na gharama zingine zitokanazo na kuishi mbali na sehemu zao zakazi. Vilevile hii ingewafanya watu kamawalimu kuona ni kwa kiasi gani tunawathamini.
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?[/QUOTE
Mkuu, umeleta jambo jema na lenye maana sana kwa jamii yetu

Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?
Ndugu poteza muda kidogo kusoma kilichoandikwa ukielewe kisha toa maoni yako sio unakurupuka tu nakuandika unachofikiri dhidi ya kilichoandikwa na mwingine. nimesema sina maana kuwa kada zingine hazina umuhimu
Utawasaidia nhc kujiendesha?Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba za shirika la Nyumba hapa mjini kati ambazo kodi yake ni nafuu ni vema tungewapendelea watumishi wa serikali wa kada hizo nilizozitaja kulikoni kuwaachia wafanyabiashara wa kiasia ambao kwanza wanakipato kikubwa na wana uwezo wa kukaa sehemu yeyote bila kuathirika kimaisha kutokana na sehemu kubwa ya kipato chao kutumika kwa usafiri na gharama zingine zitokanazo na kuishi mbali na sehemu zao zakazi. Vilevile hii ingewafanya watu kamawalimu kuona ni kwa kiasi gani tunawathamini.
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?
hii madam tuliwahi kuichangia tukiwa darasani kama mojawapo ya ufumbuzi wa baadhi ya kero za walimu. Mfano pale ilala boma shule hii hapa national housing hizo hapo walimu wanakaa kipunguni Mara mbagala rangi Tatu. Serikali iweke utaratibu maeneo kama Yale wake walimu tu. Hawa wahindi wapelekeni goba hukoNdugu mimi ninae andika haya ni mtumishi wa umma najua vizuri kila kitu. Hebu tuone umuhimu wa kada tajwa kwa maendeleo ya taifa hili japokuwa sina maana kuwa kada zingine hazina umuhimu.
Utawasaidia nhc kujiendesha?
hii madam tuliwahi kuichangia tukiwa darasani kama mojawapo ya ufumbuzi wa baadhi ya kero za walimu. Mfano pale ilala boma shule hii hapa national housing hizo hapo walimu wanakaa kipunguni Mara mbagala rangi Tatu. Serikali iweke utaratibu maeneo kama Yale wake walimu tu. Hawa wahindi wapelekeni goba huko
Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba za shirika la Nyumba hapa mjini kati ambazo kodi yake ni nafuu ni vema tungewapendelea watumishi wa serikali wa kada hizo nilizozitaja kulikoni kuwaachia wafanyabiashara wa kiasia ambao kwanza wanakipato kikubwa na wana uwezo wa kukaa sehemu yeyote bila kuathirika kimaisha kutokana na sehemu kubwa ya kipato chao kutumika kwa usafiri na gharama zingine zitokanazo na kuishi mbali na sehemu zao zakazi. Vilevile hii ingewafanya watu kamawalimu kuona ni kwa kiasi gani tunawathamini.
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?[/QUOTE
Mkuu, umeleta jambo jema na lenye maana sana kwa jamii yetu
Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba za shirika la Nyumba hapa mjini kati ambazo kodi yake ni nafuu ni vema tungewapendelea watumishi wa serikali wa kada hizo nilizozitaja kulikoni kuwaachia wafanyabiashara wa kiasia ambao kwanza wanakipato kikubwa na wana uwezo wa kukaa sehemu yeyote bila kuathirika kimaisha kutokana na sehemu kubwa ya kipato chao kutumika kwa usafiri na gharama zingine zitokanazo na kuishi mbali na sehemu zao zakazi. Vilevile hii ingewafanya watu kamawalimu kuona ni kwa kiasi gani tunawathamini.
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?
Huna akiliHebu tuondolee kauli zako zenye hisia za kibaguzi na zisizo na uhalisia. Kwanza hujui kodi ni kisai gani, pili hujui kama walimu na hao wengine uliowataja wangezimudu. Tatu, unataka mwalimu wa kibamba aishi kwenye hizo nyumba halafu akafundishe kibamba. Kwa taarifa yako, huko mtaaani kuna nyumba za kodi elfu 10 ambayo ni asilimia kumi tu ya kodi za NHC.