Nyumba za NHC hapa mjini kwanini Serikali isiweke sheria wakapangishwa Walimu Madaktari na M-nurse

Nyumba za NHC hapa mjini kwanini Serikali isiweke sheria wakapangishwa Walimu Madaktari na M-nurse

Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba za shirika la Nyumba hapa mjini kati ambazo kodi yake ni nafuu ni vema tungewapendelea watumishi wa serikali wa kada hizo nilizozitaja kulikoni kuwaachia wafanyabiashara wa kiasia ambao kwanza wanakipato kikubwa na wana uwezo wa kukaa sehemu yeyote bila kuathirika kimaisha kutokana na sehemu kubwa ya kipato chao kutumika kwa usafiri na gharama zingine zitokanazo na kuishi mbali na sehemu zao zakazi. Vilevile hii ingewafanya watu kamawalimu kuona ni kwa kiasi gani tunawathamini.
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?
Kwa serikali hii utasubiri sana

Hii serikali ilijiteua yenyewe
 
Itakuwa msaada mdogo kwa wachache sana.

Badala yake waongezewe maslahi yao kwa kuwana mishahara bora,mikopo yenye riba nafuu (au isiyo na riba /sponsored) au wapewe upendeleo maalumu kwa kuwa na maeneo yao maalumu ya kufanya manunuzi bila kodi au tozo yabidhaa wanazohitaji hasa za ujenzi,chakula na matibabu.Watoto wao wapewe unafuu wa ada wanazolipa shuleni na vyuoni.Project ya hivyo lazima iwainue na kuwaheshimisha watu wa kada hizo hizo tajwa.
 
Mooduke,
Nakuunga mkono. Uliowataja wanastahili kabisa kupewa huu upendeleo kutokana na unyeti wa huduma zao kwa jamii, vipato vyao vidogo, dharura na umbali wa kufika maeneo yao ya kazi. Inasikitisha kuona watanzania wenye uwezo tena mkubwa sana kifedha ndiyo wamehodhi hizi nyumba kwa miongo kadhaa.
Baada ya miezi michache utasikia huyo muhindi anampa mwalimu mil 10 ili ampishe. Mwalimu nae ana kibanda chake bado kupaua na madirisha, anakubali kuchukua hela. Miaka michache tunarudi kulekule
 
mkuu ni wazo zuri.na pale ambapo nyumba za watumishi hazipo,zijengwe.
Hizo za zamani zivunjwe zijengwe kubwa zaidi za kisasa wakae familia nyingi tena kwa bei nafuu. Tatizo NHC badala wajenge wenyewe, watatafuta mwekezaji eti wagawane Friday, bdae utasikia kodi laki 7. Wataishia kukaa wenye uwezo mkubwa
 
mlaniwe wote mnaotaka kulaniana na manofikilia kulaniana wakati hizi nyumba hazituhusu ni za wahindi kwani walinyanganywa enzi hizooo nyie mmekuja juzi mjini mnazitaka , kajenge zakwenu huko kibamba
Acquisition of Building Act 1971 - nyumba zenye thamani ya shs 100,000+ zilitaifishwa - za wahindi - za waswahili ziliachwa -mfano nyumba ya John Rupia na Chauremo hapo Msimbazi - wakati huo wamiliki wa kihindi wakitoza kodi ya shs 300 leo NHC inatoza 500,000 fleti hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom