Nyumba za NSSF Kibada, Kigamboni

spiritual-thinker

Senior Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
137
Reaction score
73
Wanajamvi wataalamu na wazoefu wa ujenzi,
Nyumba za NSSF zenye ukubwa wa 125 sqm (built up area) zinauzwa TZS 114,000,000. Naomba mnijuze hii bei ni realistic au magumashi?
 
Wanafanya biashara hao. Ukigenga mwenyewe nyumba hiyo haitazidi pengine milioni 40 kama umefanya usimamizi mzuru wewe mwenyewe ukiwa na mafundi wako. Kuna baadhi ya waheshimiwa pia siku hizi wameamua kufanya usimamizi wa ujenzi wa nyumba zao kuliko mtindo wa kukodi kampuni ikujengee.
 
Kutegemea na finishing, nyumba ya kawaida dar inaweza gharimu kati ya 500,000 hadi 700,000 kwa square meter. Kwa hesabu za haraka, hiyo nyumba bei ipo juu kuzidi bei za soko.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wanajamvi wataalamu na wazoefu wa ujenzi,
Nyumba za NSSF zenye ukubwa wa 125 sqm (built up area) zinauzwa TZS 114,000,000. Naomba mnijuze hii bei ni realistic au magumashi?
Hizo nyumba zilishauzwa na zikaisha, Za vyumba viwili ziliuzwa mil 45 na ushee na za vyumba vitatu ziliuzwa mil 54 na ushee, walipost kwenye website yao. Sasa Kama unanunua sasa hivi, ni either kuna watu walitoa down payment na malipo yote yakawashinda au wanaouza sasa hv ni "Vishoka" Walinunua wakati bei halisi na sasa wamedouble...
 
Hizo zitakuwa za NHC na sio NSSF
 
Kutegemea na finishing, nyumba ya kawaida dar inaweza gharimu kati ya 500,000 hadi 700,000 kwa square meter. Kwa hesabu za haraka, hiyo nyumba bei ipo juu kuzidi bei za soko.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Vipi ukijumlisha bei ya kiwanja (sqm 700), kuvuta umeme, sewage system i.e septic tanks na maji? naamini havikuhusishwa kwenye makadirio yako ya awali
 
Acha uongo zilizouzwa ni za nhc pale kuna za nssf pia
 
Wanajamvi wataalamu na wazoefu wa ujenzi,
Nyumba za NSSF zenye ukubwa wa 125 sqm (built up area) zinauzwa TZS 114,000,000. Naomba mnijuze hii bei ni realistic au magumashi?

nunua tu kama una hela kama huna jenga ya kwa kwako na haitafikisha ghalama hiyo
 
Kutegemea na finishing, nyumba ya kawaida dar inaweza gharimu kati ya 500,000 hadi 700,000 kwa square meter. Kwa hesabu za haraka, hiyo nyumba bei ipo juu kuzidi bei za soko.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Si unajua kuna uwekano mkubwa wa 10% za watu wanaotoa hizo tender? Sector ya ujenzi imegubikwa na rushwa ya kutisha. Kupata kazi bila kumuwezesa anayetoa ni nadra sana. Mwisho wayote mlaji ndiye anayeumia
 
unaishi kibada?
au upo NHC?

Pale kibada Luna nyumba za hayo mashirika mawili hata ramani zao ni tofauti. Za nssf ni kubwa lijumba na compound yake. So iyo bei ukiplus na thamani ya land plus Kule kushakuwa prime area sio mbaya kiviiile
 
HV umesoma niliyemquote au ?
 
Bei zs vishoks hizo ila bora wao bei zao kuliko national housing.
 
vipi ubora wa nyumba za NHC??? is it worth it?
 
Pale kibada Luna nyumba za hayo mashirika mawili hata ramani zao ni tofauti. Za nssf ni kubwa lijumba na compound yake. So iyo bei ukiplus na thamani ya land plus Kule kushakuwa prime area sio mbaya kiviiile

napajua nnayo moja natafuta wapangaji,unataka kupanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…