Loeli
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 997
- 763
Hizo nyumba hazifanani.sasa ulitakaje bei iwe moja?au wewe unazungumzia unafuu gani mkuu?
Ni kweli hazifanani mkuu ils nhc houses are sky rocketting prices. Wanajengea matajiri halafu pia miradi hawakamilishi kwa wakati.