Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Japo tuliwahi kuweka hapa picha za nyumba hizo, baadaye uzI ule ukanyongelewa mbali na vigogo wa JF , hata hivyo hakuna tofauti yeyote kati ya hizi za leo na zile tulizowasilisha awali.
Tunawakumbusha tu wakubwa wa jf kwamba Nyumba nyingi kama hizi za umma huwa hazijengwi kwa kificho, sasa kile tulicholeta na hiki kuna tofauti ipi?
Hebu angalieni
Kuna haja ya JF Kuwaamini Wanachama wake, kwa vile Jamii check ipo tunaamini sasa ndio itakuwa VAR yetu hapa jukwaani.