Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sisi hatuna shida na nyumba, shida yetu ni kupingwa kwa Taarifa zetu za kwelikuna watu kwao akuna jambo jema,kila jambo kwao ni baya.
wakiambiwa na wao waonyesha mema yao hawana, kazi kukosoa tu.
AiseeeeNyumba nzuri sana tena sana zinapendeza vizuri sana. Zimekamilika kwa wakati mzuri. Cha ajabu CHADEMA imekaa miaka nenda rudi imeshindwa kujenga ofisi kama hizo. ili walau wakikaa ndani wawe wanapata hata hewa safi kuliko kwenye ile ofisi yao iliyochoka vibaya wanayobanana mpaka wanakosa hewa safi.
Bilionea ajenge shule sasaJapo tuliwahi kuweka hapa picha za nyumba hizo, baadaye uzI ule ukanyongelewa mbali na vigogo wa JF , hata hivyo hakuna tofauti yeyote kati ya hizi za leo na zile tulizowasilisha awali.
Tunawakumbusha tu wakubwa wa jf kwamba Nyumba nyingi kama hizi za umma huwa hazijengwi kwa kificho, sasa kile tulicholeta na hiki kuna tofauti ipi?
Hebu angalieni
View attachment 3062514View attachment 3062515
Kuna haja ya JF Kuwaamini Wanachama wake, kwa vile Jamii check ipo tunaamini sasa ndio itakuwa VAR yetu hapa jukwaani.
Wanatuamini ila tu dah! Uchawa na uramba miguu unawasumbua.Japo tuliwahi kuweka hapa picha za nyumba hizo, baadaye uzI ule ukanyongelewa mbali na vigogo wa JF , hata hivyo hakuna tofauti yeyote kati ya hizi za leo na zile tulizowasilisha awali.
Tunawakumbusha tu wakubwa wa jf kwamba Nyumba nyingi kama hizi za umma huwa hazijengwi kwa kificho, sasa kile tulicholeta na hiki kuna tofauti ipi?
Hebu angalieni
View attachment 3062514View attachment 3062515
Kuna haja ya JF Kuwaamini Wanachama wake, kwa vile Jamii check ipo tunaamini sasa ndio itakuwa VAR yetu hapa jukwaani.
Unamaana kodi zao hazitumiki na serikal kwenye miradi! Una ubongo usio na akili kiroboto wewe.kuna watu kwao akuna jambo jema,kila jambo kwao ni baya.
wakiambiwa na wao waonyesha mema yao hawana, kazi kukosoa tu.
Kwanza, kwa taarifa yako ni kwamba wakubwa wa jf ni wachadema, kama hujui.Tunawakumbusha tu wakubwa wa jf kwamba Nyumba nyingi kama hizi za umma huwa hazijengwi kwa kificho, sasa kile tulicholeta na hiki kuna tofauti ipi?
Wakati mwingine tatizo ni timingSisi hatuna shida na nyumba, shida yetu ni kupingwa kwa Taarifa zetu za kweli
Nyumba safi na kilichosalia ni wao kurejesha shukrani zao Kwa Rais Samia 2025.Japo tuliwahi kuweka hapa picha za nyumba hizo, baadaye uzI ule ukanyongelewa mbali na vigogo wa JF , hata hivyo hakuna tofauti yeyote kati ya hizi za leo na zile tulizowasilisha awali.
Tunawakumbusha tu wakubwa wa jf kwamba Nyumba nyingi kama hizi za umma huwa hazijengwi kwa kificho, sasa kile tulicholeta na hiki kuna tofauti ipi?
Hebu angalieni
View attachment 3062514View attachment 3062515
Kuna haja ya JF Kuwaamini Wanachama wake, kwa vile Jamii check ipo tunaamini sasa ndio itakuwa VAR yetu hapa jukwaani.
HakikaJamb jema bila kujali hayo mengine.
Kwa mfano kwenye uzi huu nimekejeli nini?Kwanza, kwa taarifa yako ni kwamba wakubwa wa jf ni wachadema, kama hujui.
Pili, kuhusu taatifa yako kunyofolewa, inawezekana inatokana na jinsi ulivyoileta. Sidhani na siamini, kama wewe ulileta hiyo taarifa kama kutoa habari juu ya msaada uliotolewa kwa waathirika wa maguriko. Itakuwa lazima ulileta hiyo taarifa kwa lengo la kukejeli msaada huo uliotolewa. Tunakujua wewe, hauna lolote jema linalofanywa na mtu mwingine yeyote zaidi ya mbowe!
Wewe kama mfanyabiashara wa kimataifa, na mtu mwenye 'wide worldview', you need to change.
Kwamba huyo Samia kachukua hela zake kizimkazi ndio kawajengea nyumba siyo?Nyumba safi na kilichosalia ni wao kurejesha shukrani zao Kwa Rais Samia 2025.