Nyumba za Waathirika wa Maporomoko ya Hanang zakabidhiwa

kuna watu kwao akuna jambo jema,kila jambo kwao ni baya.
wakiambiwa na wao waonyesha mema yao hawana, kazi kukosoa tu.
Huo sio wema boss, huo ni wajibu wa serekali. Tenganisha wema na majukumu ya serekali boss.
 
Kuna uzi ulipandisha hapa ukiwa na picha za ajabu nyumba za udongo ukasema ni za wathirika unajivua nguo sana!
 
Kwamba huyo Samia kachukua hela zake kizimkazi ndio kawajengea nyumba siyo?
Hajatumia pesa za serikali,alishasema Nchi marafiki wamempa pesa hususani za kiarabu na account ya michango ilifunguliwa.

Waathirika Wana wajibu wa kulipa fadhila 2025
 
Hajatumia pesa za serikali,alishasema Nchi marafiki wamempa pesa hususani za kiarabu na account ya michango ilifunguliwa.

Waathirika Wana wajibu wa kulipa fadhila 2025
Kwamba hizo hela alipewa yeye binafsi?
 
Sisi hatuna shida na nyumba, shida yetu ni kupingwa kwa Taarifa zetu za kweli
Kuna kitu nime-notice.....mkuu umeishiwa maneno. Bila shaka utakuwa Moja ya watu waliofaidika kwa namna fulani na Mama Samia.

Hongera mkuu kwa kusema ukweli hasa kwa hili zuri. Naamini changamoto zipo usichoke endelea kuibua na kuzisema. Ukiondoa uchawa lazima mabaya yaanikwe, hao ndipo tutafanikiwa.

Usichoke mkuu
 
Hujui kitu, Shut Up!
 
Bado wanakabidhi vizimba vya kufugia mbwa!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…