Nyumba za wafanyakazi wa kima cha chini enzi za Ukoloni

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Watu waliishi katika nyumba hizi, kuzipata and ni lazima mzazi awe mwajiriwa wa Railways, Bandari, Serikali Kuu nk.

Kila kitu kina wakati wake, enzi hizo uliona fahari kwakaribisha wageni humu, nyumba ina maji na umeme na paa la vigae. Kule Uswahilini enzi hizo nyumba zilikuwa ni za udongo na paa la makuti.
 
Enzi hizo: Customs, RTC, Bandari. Wengine Huku tulionekana malofalofa tu!
 
Sasa hivi mtumishi wa bandari hasa ya Dar ukinunua Opa unachekwa na watumishi wenzako.

Imagine mlinzi wa bandari anaona aibu kumiliki OPA au VITZ huku Registered Engineer wa SIDO au TEMESA anapanda daladala kwenda kazini.

Tanzania raha sana, huhitaji kusoma sana ili uishi vizuri.

Ni koneksheni tu
 
Nina babu yangu yeye hadi leo anaishi maghorofa ya Railway yupo Kule juuu kabisa

tangu wadogo hadi na leo kashastaafu kabisa ila yupo pale kwenye yale maghorofa

huwa najiuliza huwa wamepewaga buree,au wameuziwagwa, nashndwaga elewa kama

sisi vijukuu vyake tuna maisha yetu tayari,yeye yupogo tu pale huwa hii imekaaje sielewagi...
 
Nchi hii kuna wanaokula keki ya Taifa, waliuziwa zile nyumba. Rafiki yangu mume wake alinunua kwa milioni nne tena unalipa taratibu.
 
Umenikumbusha Chumbageni Tanga...
 
Hizo hizo banda za mbwa
( according to mzee wa vijisenti imagination )w
policcm chini ya serekale tukufu ya chama mboga mboga,
Walivyo hawana akili wanawalinda Kwa kuwaibia kura wananchi Ili kuwanufaisha wanasiasa wanaoishi kwenye makasri na mahekalu makubwa makubwa!
Akili hizo!
😁😁😁😁😁πŸ”₯
 
Haji Manara anaishi Masaki na Mtoto anamsomesha kwa Cash Chuo Kikuu Uturuki kwa kupiga domo

Daktari Bingwa wa mfumo wa fahamu Hospital ya Rufaa Mtwara anahangaika kulipia ada mwanae ya Diploma Mbeya Tech
 
Ukamuulize
 
Nchi hii kuna wanaokula keki ya Taifa, waliuziwa zile nyumba. Rafiki yangu mume wake alinunua kwa milioni nne tena unalipa taratibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haji Manara anaishi Masaki na Mtoto anamsomesha kwa Cash Chuo Kikuu Uturuki kwa kupiga domo

Daktari Bingwa wa mfumo wa fahamu Hospital ya Rufaa Mtwara anahangaika kulipia ada mwanae ya Diploma Mbeya Tech
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi machozi khaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…