Kiraka JF-Expert Member Joined Feb 1, 2010 Posts 4,285 Reaction score 4,074 Feb 16, 2022 #21 Watu wamenunua nyumba ina kiwanja heka moja Oysterbay kwa millioni ndogo tu.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Feb 16, 2022 #22 Baadae nitatupia picha za waalimu huko vijijini miaka 60 baada ya uhuru.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 16, 2022 #23 Liwagu said: Shemeji angu alinunua nyumba huko mill tatu karibu na shule ya chumbageni daah kunawatu wana bahati sana, nyumba ya maana ipo pazuri tu. Click to expand... Kuna wengine waliuziwa Majani Mapana/Nguvumali, za kule zilikuwa nzuri zaidi... Wengine maeneo ya Changa kama mzee wake Gadner Habash, au kwa Mukebezi (mchezaji wa zamani Taifa Stars)...
Liwagu said: Shemeji angu alinunua nyumba huko mill tatu karibu na shule ya chumbageni daah kunawatu wana bahati sana, nyumba ya maana ipo pazuri tu. Click to expand... Kuna wengine waliuziwa Majani Mapana/Nguvumali, za kule zilikuwa nzuri zaidi... Wengine maeneo ya Changa kama mzee wake Gadner Habash, au kwa Mukebezi (mchezaji wa zamani Taifa Stars)...
Liwagu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2017 Posts 5,593 Reaction score 6,754 Feb 16, 2022 #24 Watu8 said: Kuna wengine waliuziwa Majani Mapana/Nguvumali, za kule zilikuwa nzuri zaidi... Wengine maeneo ya Changa kama mzee wake Gadner Habash, au kwa Mukebezi (mchezaji wa zamani Taifa Stars)... Click to expand... Watu walifaidi sana, wale wa pale Gerezani palipo jengwa mwendo kasi ndio wana bahati mbaya sana sana sana. Walilala maskini wakaamka matajiri alafu waka lala matajiri wakaamka maskini tena hahahahaaa.
Watu8 said: Kuna wengine waliuziwa Majani Mapana/Nguvumali, za kule zilikuwa nzuri zaidi... Wengine maeneo ya Changa kama mzee wake Gadner Habash, au kwa Mukebezi (mchezaji wa zamani Taifa Stars)... Click to expand... Watu walifaidi sana, wale wa pale Gerezani palipo jengwa mwendo kasi ndio wana bahati mbaya sana sana sana. Walilala maskini wakaamka matajiri alafu waka lala matajiri wakaamka maskini tena hahahahaaa.
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Feb 16, 2022 #25 Sultan area kuna hizi nyumba pia Morogoro
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,383 Reaction score 11,197 Feb 16, 2022 #26 Watu8 said: Umenikumbusha Chumbageni Tanga... Click to expand... Majengo Jijini Dodoma mpaka leo wanaoishi humo hujiona keki na wamuziwa lkn matengenezo bado sijui ni udogo wa kiwanja?
Watu8 said: Umenikumbusha Chumbageni Tanga... Click to expand... Majengo Jijini Dodoma mpaka leo wanaoishi humo hujiona keki na wamuziwa lkn matengenezo bado sijui ni udogo wa kiwanja?