Gharama ikizidi, acha uzinzi mkuuJamani, wamiliki wa nyumba za wageni jaribuni kupunguza kidogo gharama za vyumba. Unajua inakera sana kuona umetoka kwenye nyumba fulani (chumba Tsh. 25,000) ukienda tena baada ya wiki moja unaambiwa 30,000 na kibaya zaidi akishaona umeongozana na demu wako.
Tuoneane huruma jamani, hali yenyewe ngumu!!!!
Mbona hulalamiki demu akikuongezea mizinga?post na hayo basi
Gharama ikizidi, acha uzinzi mkuu
Mbona hulalamiki demu akikuongezea mizinga?post na hayo basi
Jamani, wamiliki wa nyumba za wageni jaribuni kupunguza kidogo gharama za vyumba. Unajua inakera sana kuona umetoka kwenye nyumba fulani (chumba Tsh. 25,000) ukienda tena baada ya wiki moja unaambiwa 30,000 na kibaya zaidi akishaona umeongozana na demu wako.
Tuoneane huruma jamani, hali yenyewe ngumu!!!!
Acha uzinzi na umalaya hizo gharama hutaziona wala kuzisikia hata siku moja!!! Guest watafuta nini wewe?? Huna nyumba??? Huna Mke??? aakkk kwenda zako bwana.
Jamani, wamiliki wa nyumba za wageni jaribuni kupunguza kidogo gharama za vyumba. Unajua inakera sana kuona umetoka kwenye nyumba fulani (chumba Tsh. 25,000) ukienda tena baada ya wiki moja unaambiwa 30,000 na kibaya zaidi akishaona umeongozana na demu wako.
Tuoneane huruma jamani, hali yenyewe ngumu!!!!
Anaenda kupunguza stress mama, sio lazima apunguzie getoni kwake atapeleka wa ngapi?