QALLI MIZOH
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 2,075
- 698
mmoja tu ndio ana ghorofa duuuuuuh
huyu ney kumbe anajiweza
Punda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmoja tu ndio ana ghorofa duuuuuuh
huyu ney kumbe anajiweza
Walisema sio yake....
Akina nani?
Meneja wake....alisema Ney hana ubavu wa kumiliki ile nyumba ila alijitangazia yake ili ajipandishe dauu....
Kwenye kipindi cha mkasi ney alikana kuwa hajawahi kuwa na meneja toka ameanza muziki
Hiyo ilinipita shost...kwa hiyo alisema mjengo wake?
Meneja wake....alisema Ney hana ubavu wa kumiliki ile nyumba ila alijitangazia yake ili ajipandishe dauu....
biashara ya kubeba unga haina meneja ina wafadhili tu!sasa huyo meneja gani alisema hayo?...si kila mwanamuziki mwenye pesa anaipatia kwenye music!wangapi wanajua kama ney alikuwa kinyozi wakati anajisomesha mbezi beach secondary na pakulala alikuwa hana...
Baby cool
prezoo ni nouma ila chamelion anazo nyingi marekani rwanda uganda kwao na tz
Kwenye kipindi cha mkasi ney alikana kuwa hajawahi kuwa na meneja toka ameanza muziki
ya Jay de kama umetupeleka chaka mkuu..ile ya kimara temboni siyo hiyo mkuu ile ni ghorofa ..