Nyumba za wasanii wetu

Madee jirani yng huku Mbezi ya Goba, hamjapata picha ya mjengo wk?
 
prezoo ni nouma ila chamelion anazo nyingi marekani rwanda uganda kwao na tz
 
Meneja wake....alisema Ney hana ubavu wa kumiliki ile nyumba ila alijitangazia yake ili ajipandishe dauu....

biashara ya kubeba unga haina meneja ina wafadhili tu!sasa huyo meneja gani alisema hayo?...si kila mwanamuziki mwenye pesa anaipatia kwenye music!wangapi wanajua kama ney alikuwa kinyozi wakati anajisomesha mbezi beach secondary na pakulala alikuwa hana...
 

Lakini amrjitahidi sana ameeashinda wanamziki wa zamani kama TID bado anakaa kwao.
 
ya Jay de kama umetupeleka chaka mkuu..ile ya kimara temboni siyo hiyo mkuu ile ni ghorofa ..
 
prezoo ni nouma ila chamelion anazo nyingi marekani rwanda uganda kwao na tz

Chameleone kaipoteza nyumba yake, yupo kwenye financial crisis kwa sasa amepanga, Sababu nini, Sababu ni kuuliwa mwaka jana kwa mshikaji wao ambaye ni rafiki wa Leone island, ndugu wa marehemu wanataka kumuua, ikashindikana kupata mnunuzi ikabidi kuwekwa bond bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…