Nyumba za wasanii wetu



mtu kukosa bakulala enzi hizo haihusiani na maisha yake ya sahivi kwani alikuwa anatafuta sahivi kapata
 
Nilichoona wasanii wa bongo wanamiliki mabanda ya kuku while wenzao wanamiliki Mansion.
 
Hizo nyumba za hao waganda!!

Diamond kuna wakati nilisoma vya udaku ni km ana nyumba 5 za Apartments.

I though komando binti ana gorofa na anamiliki Range Rover Evoque.

Wasanii wetu wa kibongo wanapenda sifa tu vitendo hakuna, utasikia video mil 200 wakati nyumba kumalizia inamshinda.
 
Wasanii wetu wa kibongo wanapenda sifa tu vitendo hakuna, utasikia video mil 200 wakati nyumba kumalizia inamshinda.

Mbaya sana.
Nahisi hao mameneja wao wanawadhulumu kwa namna fulani.

Haiwezekani mwenye akili timamu afanye video 1 tu kwa m200 halafu nyumba zao ndo mmh. Hizo bei za video, kurekodi ni magumashi mameneja wanapiga cha juu.

Wasanii wanaishia kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa huko magazeti ya udaku na matapeli wa town (kiumbe et al) wanawatafutia mademu wakali wa mjini wawalie hela then wanagawana nao! Nawaza tu......!!

Hizo nyumba ni aibu kwa baadhi yao na majina waliyonayo!
 

Ujinga wa wasanii wetu wanaishi kwa kuiga badala ya ku invest wanaangalia maisha ya Jay z na Beyonce wanaiga huku kipato chao kinateketea, pia wanaishi ili waonekane kwa watu.
 
Ni kweli kbsa, ni aibu tupu, wamezoea maisha ya kuiga maisha ya wasanii wa kimagharibi, mwisho huishia kupata aibu.
 
Usije kuta hao wa nje ni biashara haramu tunawakosoa wa kwetu kumbe ni halali yao so huwezi fananisha!

Nilisoma mahali kuwa Bongo Fleva inakubalika sana hata nje ya mipaka. Kila nikienda Nairobi nyimbo hata za Mr. Nice bado zinapendwa sana na kupigwa. Hizi za ss hivi ndo utafkiria wamelogezewa.

Alienda Diamond tamasha huko akalipwa mara kadhaa ya hao nguli wa Kenya! So, how come hao wa nje wawazidi mali hivyo. Tena wa Uganda?!
 

tatizo la wabongo show off nyingi
uongo uongo wa vipato vyao halisi
mfano msanii mmoja alidanganya analipwa mil20 nje ya nchi per show kumbe analipwa mil 6 hadi 7 per show so ni mbaya sana
 

Ndo.mana umeambiwa.wabongo show off zimewazidi
 

Sasa wanataka kumuua, ndio auze nyumba? Polisi wanafanya kazi gani?
 
tatizo la wabongo show off nyingi
uongo uongo wa vipato vyao halisi
mfano msanii mmoja alidanganya analipwa mil20 nje ya nchi per show kumbe analipwa mil 6 hadi 7 per show so ni mbaya sana

Labda huwa wanaahidiwa hela ndefu wanaishia kupewa kdg. Ndo maana wkt mwingine hawatokei kwenye show!

Kitambo kidogo walikua wanalalamikia wadosi kuwakata kwenye mauzo ya album na mapromota kuwapiga puu shows.... huenda mameneja ndo wapigaji wa sasa. Vita ya Nature vs Fela, Sugu/Jide/Prof et al vs Ruge/Clouts
 
Ndo.mana umeambiwa.wabongo show off zimewazidi

Show off ni pamoja na mijengo ya kufuru km hilo la 'kinyonga' na mikoko isiyoweza matuta km Lambo la Davis.

Wasanii wetu show off zao zipi? Hizo nyumba zao ni basic sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…