mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,210
Usiwadanganye wasanii wewe,msanii mkubwa kuishi kwenye nyumba kama hizo wakati wenzao wanaishi kwenye mansion....Hayo ni mabanda ya kuku tu,Hivi ukicheki nyumba ya fili senhe(50 cent) na hizo za wasanii wetu si yanaonekana mabanda ya kufugia kuku? Ninaowauzi hii naifanya kusudi ili muongeze juhudi,big up masanja,prof jay na AY ghorofa ndio majumba ya wasanii.
Mmh...kwamba muziki na mapato ya 50cent na wasanii wa bongo?.....ni kama kupambanisha uchumi wa tz na marekani