Nyumba za Yamoto: Sheria inahitajika, Fella adaiwa kuwa kikwazo cha Aslay kwenda Wasafi

[emoji1] wewe humtakii mema huyu mzee, kwa Mange tena?
 
Ila sheria ilivyo hata wakishitaki a naweza kuwashinda laba busara zake
 
Hapo keshazulumiwa.
Asley asimame meenyewe anaweza. Au akasain international label rock star
 
Nae muonea huruma zaidi ni enock bella jamaa alikuwa anapewa kampani na maromboso,aslay,beka.

Saiv jamaa sijui anaimba ukuti ukuti. [emoji20]
 
ha ha ha dada mange akiununua huu ugomvi fella lazima ajiteteeee.. na nyumba azitoe jinsi atavyoandamwa na mashabiki wa mange

yule dada mange ni mshari kweli akivurugwaaaa

aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi
Tatz sio kipaji. Tatzo nyota. Mondi ni habari nyingine wewe, btw sisapoti Aslay kwenda wasafi wala lebo yoyote apa bongo. Dogo akomae mwenyew tu soon Afrika itamuelewa kama Management yake itakuwa makini
 
Management yake mkubwa fella [emoji15] [emoji15] [emoji15] lazima badamu batamwagika wewe.!!
 
aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi
Aslay ni zaidi ya wasafi. Period
 
Nilivyomsikia Clouds kuwa alikuwa hana hela ya kulipa kwa producers Wa kubwa baada ya yamoto band kuvinjika, nilipata maswali mengi sana.

Naombeni mtafute interview ya aslay aliyofanya na Clouds siku anaenda kutambulisha wimbo wake mpya unaotamba sasa hivi
 
Huyu bwana mdogo nimesikiliza nyimbo zake amejitahidi sana,
 
aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi
Aslay ni zaidi ya wasafii!!! Mara anahitaji promo!!! Tuache Kum overrated... Dogo bado sana... Mashabk wa Africa Mashark hajakamata sembuse Africa.. Kwel Nigeria ana mashabk???
 
Mange Kimambi anasemaje kwenye hili?!

Haiwezekani madogo wanadhulumiwa alafu ye akae kimya tu au kapewa hela Na Fella?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…