Nyumba za Yamoto: Sheria inahitajika, Fella adaiwa kuwa kikwazo cha Aslay kwenda Wasafi

Ruge mchukue kijana huyo mfanye nae kazi naamini atafika mbali sana
 
Aslay ni zaidi ya wasafii!!! Mara anahitaji promo!!! Tuache Kum overrated... Dogo bado sana... Mashabk wa Africa Mashark hajakamata sembuse Africa.. Kwel Nigeria ana mashabk???
DIAMOND ANA MASHABIKI GANI NIGERIA?
 
Aslay anaimba jaman tuache utani ila aliwah kutamka hatak kuwa chin ya lebo
 
aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi

Kuna vitu ambavyo wabongo lazima tubadilike na hii mitazamo ya utimu na kutafakari kwa bashasha kidogo...

Aslay angeenda wasafi ndo ingekuwa mahali pekee kwayeye kukua kimziki....dogo ana kipaji cha kipekee...lakini kuwa na kipaji tu haitoshi...unahitaji back up kubwa sana illi uweze kutoboa...

Kwani wangapi wana kipaji kama Aslay na wana miaka kibao kwenye gemu lakini bado wanasota tuu??

Halafu wangapi hawana hata vipaji (tena Aslay amewapita mbali sana kwa kipaji) lakini kwakuwa wapo WCB wao ndo wana mafanikio makubwa sana Bongo na hata Afrika wanasikika sikika??

Kubali,kataa,bisha,andamana, WCb ndo sehemu pekee kwasasa hapa bongo ambapo hata mimi nisiejua kuimba chochote na nikaenda pale basi wakiamua kunisupport lazima nitaonekana tu na nitatoboa kibongobongo.
 
Mmeanza kudanganyana, au wewe ni timu tembo? Hivi Darasa yuko wapii? Pumzi vipi? Dogo ni mzuri, Yes. Ila sio zaid ya wasafi. Ukumbuke wasafi sio Simba peke yake. ....ni zaidi ya unachokiona wewe.
 
yule mtoto ana kipaji sana.wasafi kwa waswahili hakuna kitu
 
Elewa watu wanachoandika humu.brand wcb inaweza kuwa mlezi kwa tusiyemjua kama ulovyojitolea mfano wewe,lakini si kwa mwenye jina tayari,wapi rich mavoko????.Dogo aslay hawezi kuwa chini ya leble yoyote hapa nchini sababu analo jina kubwa kuliko leble yoyote.

Sema ni vile kuna watu ni miungu watu ktk hii industry.Ila anaweza simamiwa na meneja mwenye akili timamu akaenda mbali zaidi.
 
aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi
we umepaniki
 
Hapo keshazulumiwa.
Asley asimame meenyewe anaweza. Au akasain international label rock star
rock star siyo international lebel..kuweni na akili nyie..ni sawa mm na wewe tukafungue kampuni kenya then ije ifanye kaz tanzania..hakuna international pale
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnampata sana kichwa huyu dogo eti Ni zaidi ya diamond serious???? Anavyo viimba aslay now mond Alisha viimba kitambo sanaa
 
aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi
Mh, Aisee. Maisha hayako hivo lakin. Music ni maisha
 
Rugge Mkubwa Fella hawa watu sio wa mchezo mchezo kwa upi.gaji hawajambo
 
aslay ana kipaji zaidi ya diamond.yule dogo namshauri ruge amchukue . akienda wasafi kipaji chake kitazimwa maana hakuna anaemfikia pale.yule dogo ni brand yeye mwenyewe anaitaji promo tu ya kutosha wasafi sio hadhi yake.aslay ni zaidi ya wasafi

Kweli kabisa Aslay ni habari nyingine. Akienda WBC atachuja kwa maana itabidi aachane na style yake
ya uimbaji/muziki na kufuata ile inayotumiwa na WBC hiyo itakuwa sababu moja ya yeye kuchuja. Pili itabidi
afuate ratiba ya WBC ya uachiaji nyimbo ambayo itampunguzia kasi yake ya kuchanja mbuga. Tatu kwa vile
WBC anayeibeba "brand" yao ni Diamond itabidi Aslay akubali kuwa namba mbili siku zote au chini ya hapo.

Sasa hivi Aslay anafanya vizuri anachotakiwa ni kujipanga na management yake mkakati wa kwenda international
na ila sio kupitia WBC.
 
Mmeanza kudanganyana, au wewe ni timu tembo? Hivi Darasa yuko wapii? Pumzi vipi? Dogo ni mzuri, Yes. Ila sio zaid ya wasafi. Ukumbuke wasafi sio Simba peke yake. ....ni zaidi ya unachokiona wewe.
like young money cashmoney....selling souls for fame......
 
Aslay atafute Management nzuri tu..Huko kwa Wasafi hakumfai.... Dogo ana kipaji
 
Back
Top Bottom