Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

Tatizo wabongo wamezoea longolongo na mafundi na kushikana mashati mara fundi kala mifuko ya simenti basi tabu tupu, hapo nyumba ikiisha mbongo anajiona ndio mimi na kitambi kinaanza
Ni hivi kwa ninavyoelewa ni MSINGI+KUTA+PAA tu, yaani vingine unamalizia mwenyewe madirisha , milango, vyoo, dari, na kadhalika...
Na kama unawakabidhi hela na mnaandikishana kisheria na wanamaliza kwa muda mfupi, basi ni safi sana, hata mimi nitafikiria.....
 
Chumba mbili
Chumba mbili 8m jamani huu utapeli samahani..
Chumba mbili andaa 24+++
 
Yaani mtu ahamie nyumba ambayo haina milango wala madirisha?
 
Tunauza mbao kwa bei za jumla
2*4 fut 12=4400
2*4treated fut 12=4800
1*6 fut 12 = 4400
1*8 fut 12= 8500
1*8 ya fisherboard=9500
1*10=13500
1*10 ya fisherboard= 15000
2*2treated fut 12=2500
2*2 fut 12=2300
2*4treated fut 18=9500
2*6 fut 12=8500
2*6treated fut 18=16000
2*2treated fut 18=5000
2*3 fut 12=3500
1*4 fut 18=4000
1*4 fut 12=2500
Tunafanya delivery popote ulipo kwa Dar-es-salaam ,tunapatikana kwa namba hizi hapa 0759630751,
0654830416,
0687371138
vile vile huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu ..
Ofisi zetu ziko Mbuyuni -Bagamoyo road
 
Epuka nyumba za kupanga kwa kuanza kumiliki nyumba yako ya gharama nafuu

Tumeandaa ramani hizi maalumu kwa yule anayetaka kumiliki nyumba yake kwa haraka kwa gharama nafuu.
  • nyumba hizi ni maalumu kwa unafuu (Chumba Kimoja ~6Mil, Vyumba Viwili ~9Mil, Vyumba Vitatu ~13Mil)
  • Makisio hayo ya gharama ni kwajili ya kujenga msingi, kuta, plasta na paa (jumla ya gharama za vifaa + ufundi)
  • unaweza jenga nyumba hizi kidogo kidogo kwa awamu mpaka unamaliza
  • ni nyumba nzuri za kisasa, kuvutia na zipo simple, hazitumii gharama kubwa kujenga
  • ni nzuri kwa mtu mwenye familia ndogo (~5) na kwa anayetaka kujenga za kupangisha
  • unaweza jenga popote Tanzania
  • nyumba hizi zinatumia sehemu ndogo ya kiwanja (~12*12m)
  • Unaweza anza jenga chumba 1 baadaye ukaipanua kwenda vyumba vitatu (au viwili kwenda vitatu)
  • kwetu utapata huduma zifuatazo: Ramani full ya nyumba, list ya vifaa vyote vinavyohitajika, mafundi wa kukujengea
  • hatukopeshi nyumba, bali unajenga kwa pesa yako (unaweza jenga kidogo kidogo kwa awamu mpaka Inakwisha)

+255-657-685-268 (Piga/ WhatsApp)
Makazi Network
 
Haya sasa ndio maneno. Ramani mpaka ujenzi u achukua muda gani
 
Big up,keep up the movement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…