Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

Hello ukihutaji kujua gharama ya kipesa ya kujenga nyumba

Twaweza kukuandalia makisio ya gharama kwa nyumba specific hizo au kama unayo yako

-- nyumba ya kawaida 25,000/=
-- ghorofa 100,000/=

Ndani ya Massa 24 unapata

+255-657-685-268 WhatsApp
Hii bei bado ni ile ile? nina mchoro nataka kujua makadirio ya tofali na bati. ni chumba kimoja tu hiden roof
 
Absolutely kuna jamaa alituambia kwa mujibu wa calculation zake Foundation itachukua tofali 700-100 za kuchoma matokeo yake ukala 1500
Site visit ni muhimu ili kufanya marekebisho ya makadirio. Makadirio huzingatia ardhi tambarare isiyo na changamoto. Ila kama kuna miinuko au mabonde lazima umjuze mchoraji ili aweze kufanya estimate ya ziada kulingana na eneo lako.
 
Back
Top Bottom