Fursakibao JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 6,813 Reaction score 11,540 Dec 21, 2024 #121 Nyumba Nafuuu said: Hello ukihutaji kujua gharama ya kipesa ya kujenga nyumba Twaweza kukuandalia makisio ya gharama kwa nyumba specific hizo au kama unayo yako -- nyumba ya kawaida 25,000/= -- ghorofa 100,000/= Ndani ya Massa 24 unapata +255-657-685-268 WhatsApp Click to expand... Hii bei bado ni ile ile? nina mchoro nataka kujua makadirio ya tofali na bati. ni chumba kimoja tu hiden roof
Nyumba Nafuuu said: Hello ukihutaji kujua gharama ya kipesa ya kujenga nyumba Twaweza kukuandalia makisio ya gharama kwa nyumba specific hizo au kama unayo yako -- nyumba ya kawaida 25,000/= -- ghorofa 100,000/= Ndani ya Massa 24 unapata +255-657-685-268 WhatsApp Click to expand... Hii bei bado ni ile ile? nina mchoro nataka kujua makadirio ya tofali na bati. ni chumba kimoja tu hiden roof
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Feb 3, 2025 #122 Latrice said: Absolutely kuna jamaa alituambia kwa mujibu wa calculation zake Foundation itachukua tofali 700-100 za kuchoma matokeo yake ukala 1500 Click to expand... Site visit ni muhimu ili kufanya marekebisho ya makadirio. Makadirio huzingatia ardhi tambarare isiyo na changamoto. Ila kama kuna miinuko au mabonde lazima umjuze mchoraji ili aweze kufanya estimate ya ziada kulingana na eneo lako.
Latrice said: Absolutely kuna jamaa alituambia kwa mujibu wa calculation zake Foundation itachukua tofali 700-100 za kuchoma matokeo yake ukala 1500 Click to expand... Site visit ni muhimu ili kufanya marekebisho ya makadirio. Makadirio huzingatia ardhi tambarare isiyo na changamoto. Ila kama kuna miinuko au mabonde lazima umjuze mchoraji ili aweze kufanya estimate ya ziada kulingana na eneo lako.