dalaliadam
Member
- Jul 27, 2024
- 24
- 11
Mbezibeach Bagamoyo road - umbali wa kutembeaLocation
Umetumia kipimo gani kupima?Mbona vyumba vidogo sana kitanda cha 6 kwa 6 kitaenea kweli?
Mbezi beach ilikuwaje pakawa pa kisua maana kipindi cha mvua kote ni mimaji tu hadi chooni nyumba kule zinalika na chumvi kama huna hela ya kukarabati unaweza lia isee..Chumba Masta na Sebule
Ndani ya fensi, Maji ndani, Umbali wa kutembea.
Kodi - Tshs 150,000/=
Eneo - Mbezibeach Bagamoyo road, Umbali wa kutembea.
Maelezo zaidi - 0716442950
View attachment 3130359View attachment 3130360