Nyumba zinapangishwa, magomeni mwembe chai. Dk 5 toka morogoro road

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
17,499
Reaction score
25,295
Ni nyumba za kisasa ( apartments) mpya kabisa.
Zipo magomeni mwembe chai. Zipo tatu
1. Self ina room mbili za kulala ( master) na inajitegemea
2. Self na zinajitegemea
Maji uhakika kabisa ( reserve tanks zipo
Car parking na gates
Dalali ni mm mwenyewe
Karibu
Bei ni
Ml 1.2 mwezi
Laki 600000/= mwezi
Laki 500000/= kwa mwezi
 
Ni nyumba za kisasa ( apartments) mpya kabisa.
Zipo magomeni mwembe chai. Zipo tatu
1. Self ina room mbili za kulala ( master) na inajitegemea
2. Self na zinajitegemea
Maji uhakika kabisa ( reserve tanks zipo
Car parking na gates
Dalali ni mm mwenyewe
Karibu
Kwanini madalali huwa muda wote wana viswaswadu?
 
Hao labda madalali wa mbagala mkuu. Siku hizi ni mwendo wa smart.
Tabia za binaadam siyo jumuishi. Ukikutana na dalali mmoja mwenye kiswaswadu haina maana wote wapo hivyo
Note hii
 
Ana maanisha ungekua huna kiswaswadu unatumia Smart phone ungeweka picha za izo nyumba
 
Ni nyumba za kisasa ( apartments) mpya kabisa.
Zipo magomeni mwembe chai. Zipo tatu
1. Self ina room mbili za kulala ( master) na inajitegemea
2. Self na zinajitegemea
Maji uhakika kabisa ( reserve tanks zipo
Car parking na gates
Dalali ni mm mwenyewe
Karibu

Mr Dalali sasa si uweke hata picha watu waone na hata bei ya kodi...

Tuna marafiki wanatafuta nyumba za kupanga tutashindwa kukutangazoa biashara...
 
Back
Top Bottom