Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Kwanini madalali huwa muda wote wana viswaswadu?Ni nyumba za kisasa ( apartments) mpya kabisa.
Zipo magomeni mwembe chai. Zipo tatu
1. Self ina room mbili za kulala ( master) na inajitegemea
2. Self na zinajitegemea
Maji uhakika kabisa ( reserve tanks zipo
Car parking na gates
Dalali ni mm mwenyewe
Karibu
Hao labda madalali wa mbagala mkuu. Siku hizi ni mwendo wa smart.Kwanini madalali huwa muda wote wana viswaswadu?
Bila picha na bei huu ni utapeliNi nyumba za kisasa ( apartments) mpya kabisa.
Zipo magomeni mwembe chai. Zipo tatu
1. Self ina room mbili za kulala ( master) na inajitegemea
2. Self na zinajitegemea
Maji uhakika kabisa ( reserve tanks zipo
Car parking na gates
Dalali ni mm mwenyewe
Karibu
Hao labda madalali wa mbagala mkuu. Siku hizi ni mwendo wa smart.
Tabia za binaadam siyo jumuishi. Ukikutana na dalali mmoja mwenye kiswaswadu haina maana wote wapo hivyo
Note hii
Weka pi
Ni nyumba za kisasa ( apartments) mpya kabisa.
Zipo magomeni mwembe chai. Zipo tatu
1. Self ina room mbili za kulala ( master) na inajitegemea
2. Self na zinajitegemea
Maji uhakika kabisa ( reserve tanks zipo
Car parking na gates
Dalali ni mm mwenyewe
Karibu
Mr Dalali sasa si uweke hata picha watu waone na hata bei ya kodi...
Tuna marafiki wanatafuta nyumba za kupanga tutashindwa kukutangazoa biashara...
Mkuu , tunalipa tu 😁Dah watu wana hela,1.2M kwa mwezi
1.2 x 12=14,400,000/=,WTF!
Mfano kwa mwajiriwa,anatakiwa awe analipwa ngapi ili aweze kumudu hii kodiMkuu , tunalipa tu 😁
Kwa business man & woman.Mfano kwa mwajiriwa,anatakiwa awe analipwa ngapi ili aweze kumudu hii kodi
Hujasema nhapi DaktariKwa business man & woman.
Pia
highly rank government officials..