Dalali KinG
Senior Member
- Jan 16, 2019
- 102
- 71
- Thread starter
-
- #21
Sasa wewe dalali apange bei Kwani yeye Nyumba yake??? Hivi Wewe Nyumba yako alafu mtu akupangie bei inaingia akilini??? Jaribu Kuwaza Kwa Mapana, dalali ni mtu wa kati tu Maelewano ya mwisho ni baina ya mpangaji na mmilikiMadalali hivi hamjasoma alama za nyakati? 550,000 huko shamba halafu bado nilipie Ulinzi, Maji, umeme na usafi si gharama inafika 1m kwa mwezi??? Usawa huu kweli?
Wenye nyumba au madalali mnataka mpate nusu kwa nusu na mwenye nyumbaWenye Nyumba hawataki Kupunguza, Wanasema bei ya tofari inapanda Kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Nyumba za Kupanga haipo ivyo Mkuu, dalali huwa tunachukua Kodi ya Mwezi 1 ( Nusu Mwezi Kwa Mpangaji na Nusu Mwezi Kwa Mmiliki ) so Kwa mazingira hayo dalali kama ataongeza Kodi atakuwa anamfaidisha Mmiliki tu.Wenye nyumba au madalali mnataka mpate nusu kwa nusu na mwenye nyumba
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Nimekuelewa vizuriKwenye Nyumba za Kupanga haipo ivyo Mkuu, dalali huwa tunachukua Kodi ya Mwezi 1 ( Nusu Mwezi Kwa Mpangaji na Nusu Mwezi Kwa Mmiliki ) so Kwa mazingira hayo dalali kama ataongeza Kodi atakuwa anamfaidisha Mmiliki tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa vizuri
Na WhatsApp umo pia?
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Shukran sana
Kwahiyo na wenyewe wanajenga kila siku.!??Wenye Nyumba hawataki Kupunguza, Wanasema bei ya tofari inapanda Kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Chumba Sebule Choo ndani bila jiko.
--Maji dawasco, fensi & Umeme Luku.
--Bei Tshs 200,000/Mwezi
-- Piga 0675107182View attachment 1056105
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha