Dalali KinG
Senior Member
- Jan 16, 2019
- 102
- 71
- Thread starter
- #21
Sasa wewe dalali apange bei Kwani yeye Nyumba yake??? Hivi Wewe Nyumba yako alafu mtu akupangie bei inaingia akilini??? Jaribu Kuwaza Kwa Mapana, dalali ni mtu wa kati tu Maelewano ya mwisho ni baina ya mpangaji na mmilikiMadalali hivi hamjasoma alama za nyakati? 550,000 huko shamba halafu bado nilipie Ulinzi, Maji, umeme na usafi si gharama inafika 1m kwa mwezi??? Usawa huu kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app