House4Rent Nyumba zinapangishwa mwenge

House4Rent Nyumba zinapangishwa mwenge

doliphin

Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
16
Reaction score
4
Kuna nyumba 3 znapangishwa karibu na mliman city.
1. Nyumba kubwa yenye room3 jiko na public toilet na sebule kubwa hii ni tsh 300,000/= kwa mwezi nahitaji kodi ya miez 6.
2. Nyumba yenye vyumba viwil vya kulala sebule choo na jiko. Kodi ni tsh 250,000/= kwa mwezi, kodi ilipwe ya miez 6.
3. Chumba sebule na choo chake 200,000/= kwa mwezi kodi miez 6.
Muhimu.
Nyumba zote zipo sehemu moja na gari linafika hadi mlangon kwako. Hakuna fence ila usalama ea hali ya juu upo. Maji yapo masaa 24. Ni dakika 4 kutokea mliman city. Kizur zaid Hakuna udalali katika nyumba hizo. Nipigie 0779722334
 
Weka picha mkuu, kwa bei hizo utapangisha chap
 
Back
Top Bottom