Nyumba zinapangishwa

Nyumba zinapangishwa

Sally

Member
Joined
Feb 25, 2008
Posts
42
Reaction score
0
Nyumba 2 zinapangishwa
1 @ Mtoni kwa Aziz Ally ndani ya compound self contained (vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo na bafu) maji umeme na usalama upo
2 @ Mbagala Charambe iko katika finishing stage na yenyewe ni self contained (vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo na bafu)

Kwa mawasiliano zaidi piga simu no: 0717 131 818 au 0767 455 858
 
Back
Top Bottom