House4Sale Nyumba zinauzwa Chanika Mwisho Dar

Sasa hizo nyumba zimejengwa jengwa vipi? Manake hapo hapo naona kuna nyumba zingine kwa mfano upande wa kulia kuna hiyo yenye paa jekundu, na nyuma kuna hiyo yenye paa la bluu. Naona kama zimejengwa kwenye kiwanja kimoja
 
IPO CHANIKA MWISHO KIBAONI

UKUBWA WA ENEO SQM 400

INAUZWA KWA MILLION 12,000,000

SIMU:+255 7 69 89 77 79/+255 6 28 00 82 18

VYUMBA 2 VYA KULALA PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM PIA HUDUMA ZA KIJAMII ZINAPATIKANA KARIBU WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO CHANIKA MWISHO
 
LOCATION: CHANIKA MWISHO MJINI

PRICE:TSHG 45,000,000 MILLION

AREA: SQM 500

CALL ME:+255 7 69 89 77 79/+255 6 28 00 82 18

VYUMBA VITATU VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER PUBLIC TOILET JIKO STOO DINING ROOM NA SITTING ROOM PIA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA KARIBU
INA FREMU YA BIASHARA KAMA UNAVYOIONA HAPO PEMBENI

Uchumi umekuwa tata sana hata asset haziuziki. Kuna rafiki yangu anauza nyumba ilishindikana na ipo pazuri na nzuri tu. Nyumba ya mil 80 mtu anakuja na mil 30. Kiwanja cha mil 30 mwaka 2014 leo hii ukipata mnunuzi wa mil 10 ni bahati sana. Uchumi wa kati eti
 
Gari inafika? Kiwanja kina hati? Maana hujaonyesha mazingira zaidi ya nyumba yenyewe. Usikute gari inabidi kupaki kwa jirani hifadhi za mtaani.
 
Ndiyo nikweli hali ni ngumu kipindi hiki mkuu Ila .............
 
Gari inafika? Kiwanja kina hati? Maana hujaonyesha mazingira zaidi ya nyumba yenyewe. Usikute gari inabidi kupaki kwa jirani hifadhi za mtaani.
Eneo la kutosha gari mpak mlangoni pia balabala inapitika bila shida umbali dk 5 tu toka balabala kuu hati ipo ya serikali ya mtaa karibu sana
 
Hiyo nyumba kama imejengwa kwa standard zinazokubalika, basi hiyo 45m ni ndogo kidogo. Hilo eneo lina mashida gani?

Na huu ujenzi wa copy and paste inabidi tuache, hatu-reason kabisaaa. Wataalamu, tunaomba mtueleze ni namna gani paa linapaswa kuwa elevated, naona kama limekaribia kusimama wima na ndio ujenzi wa siku hizi ukianza hizo contemporary ambazo na zenyewe ni majanga tu kwakuwa tuna copy na ku-paste.

Kwenye hili eneo letu la kitropiki, tunahitaji hiyi slope kubwa ya bati? Au gauge ya bati ndo inaamua slope iweje?
 
Dk 5 ya mguu au Gari? Ni vyema uelezee ni km ngapi kutoka barabarani. Ila chanika najua maji ni shida sana Dawasa haijakanyaga huko. Au tayari?
Eneo la kutosha gari mpak mlangoni pia balabala inapitika bila shida umbali dk 5 tu toka balabala kuu hati ipo ya serikali ya mtaa karibu sana
5
 
Dk 5 ya mguu au Gari? Ni vyema uelezee ni km ngapi kutoka barabarani. Ila chanika najua maji ni shida sana Dawasa haijakanyaga huko. Au tayari?

5
Dk 5 kwa miguu toka balabala kuu ya lami na kuhusu maji chanika hatuna shida ya maji kwa hilo halina shida
 
Sasa hizo nyumba zimejengwa jengwa vipi? Manake hapo hapo naona kuna nyumba zingine kwa mfano upande wa kulia kuna hiyo yenye paa jekundu, na nyuma kuna hiyo yenye paa la bluu. Naona kama zimejengwa kwenye kiwanja kimoja
Siyo kweli ndugu kila nyumba inakiwanja chake kwa uhakika zaidi fika sehem husika ukague
 
nyumba nzuri sana,
Mziki finishing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…