Mr chapu chapu
Member
- Sep 11, 2020
- 52
- 22
- Thread starter
- #41
Kwa Sasa inauzwa Ila ukihitaji sababu za kuiuza nipigie simuYah, nami nlifikiri ivo
Hii nyumba bado haijatumika kabisa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Sasa inauzwa Ila ukihitaji sababu za kuiuza nipigie simuYah, nami nlifikiri ivo
Hii nyumba bado haijatumika kabisa,
Sio ustaarabu huuDaah! Paa refu utadhani mnafugia majini huko darini!
Hii hata ukinipa bure, sichukui!
Huu ni ustaarabu wa kale!Sio ustaarabu huu
Utafikiri uko milima ya Alps Uswizi paa limewekwa slope kubwa ili theluji ianguke vizuri.Daah! Paa refu utadhani mnafugia majini huko darini!
Hii hata ukinipa bure, sichukui!
Karibu sanaBei nzuri..
NYUMBA INA HATI YA SERIKALI YA MTAA KARIBU SANAinayo hati miliki?
IPO SIKU UTAMILIKI BOSSLau ningekuwa na hela ningeichukua,Anko magu achia hela vijana tumiliki nyumba
IPO MJINI CHANIKA MWISHO STENDI
KWA MILLION 30
NYUMBA INA VYUMBA 4 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER PUBLIC TOILET JIKO STOO DINING ROOM NA SITTING ROOM PIA UMEME UPO MAJI YAPO UMBALI TOKA STENDI DK 3 KWA MGUU KUFIKA KWENYE NYUMBA
SIMU:+255 7 69 89 77 79/+255 6 28 00 82 18 (wsp)
View attachment 1601778View attachment 1601779View attachment 1601780View attachment 1601782View attachment 1601784View attachment 1601785
SQM 400Ukubwa wa Kiwanja
Mimi mwenyewe sijaelewa maana nimeamka Leo naona milioni 8 zimepungua.Naona unazidi kupunguza bei, nasubiri ifiki M1, niichukue
Hapo ujue faida yake kajiwekea milioni 15 kama dalali.Naona unazidi kupunguza bei, nasubiri ifiki M1, niichukue
kmmmammk , goddamn dalalisHapo ujue faida yake kajiwekea milioni 15 kama dalali.
Alivopunguza hivi bei faida yake sasa hivi ni milioni 7 dalali kama dalali.
KMMK.
Mwenyewe mwenye nyumba hapo anataka milioni 15 tu.
Hahahaaaa !!!!! Boss hata kiwanja hupatiNaona unazidi kupunguza bei, nasubiri ifiki M1, niichukue