NYUMBA zinauzwa MWANANYAMALA na SINZA

NYUMBA zinauzwa MWANANYAMALA na SINZA

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Ipo katika eneo zuri. (mwananyamala)
Nyumba pamoja na eneo kubwa la kujenga nyumba nyengine.
Bei maelewano.

Ipo sinza jirani na flat za BOT.
Bei poa

Serious buyer tafadhali piga 0715 262 431
 
Bei zote ili kufikiwa zinahitaji maelewano, zinauzwa kiasi gani ? Picha zipo wapi ?

Otherwise habari za mauzauza.
 
Ya mwananyamala bei ni 100M ila maongezi yanakaribishwa.

Ya sinza ni 150M. kwa kuwa ni ya pal anadhibiti bei mwenyewe hivyo usishangae kukuta ipo juu au chini ya hapo. inauzwa kwa usimamizi wa mahakama kwani ni ya urithi.

Kuhusu picha mtaniwia radhi nipo mbali siwezi kuapload.
Cha msingi kama upo dar piga simu niliyoweka hapo ukazikague kama utazipenda unazichumbia kabisa.
 
Bei zote zilizotajwa ni za kuanzia. maelewano yanakaribishwa. ila seller ana haki ya kutaja bei ya mwisho.

Ukiwasiliana unaunganishwa na mwenye mali moja kwa moja.
 
I hate hawa watu wanaojiita madalali kama nyonya damu. Hawa ndiyo wanapandisha bei ya nyumba, viwanja na nyumba za kupanga kwa style yao ya kulipwa mwezi mmoja au 10%. Ni watu wasiojua real estate market zaidi ya usanii wa mjini.
 
Picha mkuu ndo Burasa za mutu muzima siyo urazimishi kutowa wewe kama unainunua sema hii swahili ya RWANDA. weka basi Amokoro!!!! Urihehe??
 
Ukiwasiliana unaunganishwa na mwenye mali moja kwa moja.
kuwasiliana na nani tena, weka namba ya mwenye mali... eti uko mbali huwezi ku upload picha, uko Malawi?
 
Sisi madereva wa UPS tutaeza wapi hizo bei zenu za K.I.S.I.F.A.D.I? Ah, basi nunueni wenyewe bana, ama kweli wa 2 havai 1. Sie wengine tumeumbwa kupanga milele.
 
Kwa bei hii sijui..:doh: wenye hii pesa watatafuta maeneo angalua jirani hawezi kula chabo na hakuna vurugu za vioski kila kona.
 
Jamani ivi Kwanini Hili suala la madalali halijawahi kujadiliwa bungeni? au nimesahau?....lakini kumbukumbu zangu hazioneshi hata siku moja hili suala la madalali kupandisha bei za nyumba na viwanja huku waki-enjoy pesa isiyokatwa kodi limewahi jadiliwa na vyombo husika serikalini.
 
Nyumba nina maslahi nazo ni za jamaa zangu.
Nilionelea kumsaidia kuweka tangazo hapa ili mwenye uhitaji awasiliane naye mpja kwa moja.

Mie siwezi udalali, mambo hayo waachie akina RA et all
 
Back
Top Bottom