House4Sale Nyumba zinauzwa Sengerema, Mwanza

House4Sale Nyumba zinauzwa Sengerema, Mwanza

Somaiyo

Senior Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
102
Reaction score
184
Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu!

Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika, kama inavyoonekana kwenye picha

Zote zina mfumo uliokamilka wa maji taka,!

Maji na umeme vipo!!

Nyumba ya kwanza ni m25 na nyingine ni m13..!!

Zipo eneo moja ambalo linaweza kuwa viwanja viwili tofautii

Panafaa kwa lodge, apartments, na kadri mnunuzi atakavyopenda

Unaweza kuchukua moja au zote kwa pamoja

Aksante
 
Jamani hamtaki nyumba?? Bei imeshuka moja m12 nyingine m22
 
Hapa panafaaa kwa lodge, shule ya watoto!!
 
Back
Top Bottom