Habari wakuu
Naomba msaada, mwenye kujua hatua za kufata ili kuweza kununua nyumba za TBA zinazojengwa Bunju au eneo lolote hapa Dar anifahamishe. Kama mimi ni mfanyakazi wa serikali nahitaji kununua nyumba hizo inabidi nianzie wapi, nanifate procedure zipi.
ASANTE