Nyumba zinazojengwa na TBA na kuuziwa wafanyakazi wa serikali

Nyumba zinazojengwa na TBA na kuuziwa wafanyakazi wa serikali

ENGI

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
24
Reaction score
12
Habari wakuu

Naomba msaada, mwenye kujua hatua za kufata ili kuweza kununua nyumba za TBA zinazojengwa Bunju au eneo lolote hapa Dar anifahamishe. Kama mimi ni mfanyakazi wa serikali nahitaji kununua nyumba hizo inabidi nianzie wapi, nanifate procedure zipi.

ASANTE
 
Mbona watumishi wa serikali wanapendelewa hivi wakati kazi yao kwenda kutundika makoti kwenye viti na kupiga misele mitaani.
 
nenda ofisini kwao kaulize ofisi za DRE au watu wa estate....utapata maelezo yote hapo......!chukua huu ushauri kwani unainformation kwa 100%
 
Back
Top Bottom