Nyumbani kuzuri Daima, Narudi kwetu Kigoma

Maguge Maguge

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
2,734
Reaction score
1,778
Habari ndio hiyo,
kila siku napishana na magari katika mji Wenye msongamano wa watu na kila kitu, kisa tu eti kila kitu kipo huku?

Joto nalo usipime, umbea wa hapa kila siku kuna toleo jipya la msemo,

Bei za kupanga nyumba utadhani unanunua!

uhalifu nao wa kutisha hata kama ni katikati ya msongamano utadhani uko porini wakati kwetu ni amani hata ulale mlango wazi!!

Dah!
sitaki,
walioko nyumbani Kigoma, tuonane hapa, mnipe bei za vyumba.
 
Taja na kijiji unachoenda aisee isije kua unayokea titye au murufiti huko...halafu wajifanya mjanja...
 
Kama wa Kagerankanda asiende maana kuna jamaa ni mtaalam wa kutega radi hata wakati wa kiangazi.
Na kama ni wa Kilelema asiende maana Burudi wakianza kurusha mabomu kwenye shamba la Raisi Kabila yanaangukia Kilelema.

Huyu wa kagerankanda au kilelema
 
safar njema mkuu,ukipata nauli utarudi tena mjin karbuuu
 
Umekimbia umbea, joto, majungu na foleni unakimbilia kwenye shida, umasikini, chini na uchawi KIGOMA
shida hakuna, kule maisha plus, vyote mnavyokula mjini vinatoka kwetu!
kuhusu uchawi itabidi na mimi niroge.[emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…