Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,778
Habari ndio hiyo,
kila siku napishana na magari katika mji Wenye msongamano wa watu na kila kitu, kisa tu eti kila kitu kipo huku?
Joto nalo usipime, umbea wa hapa kila siku kuna toleo jipya la msemo,
Bei za kupanga nyumba utadhani unanunua!
uhalifu nao wa kutisha hata kama ni katikati ya msongamano utadhani uko porini wakati kwetu ni amani hata ulale mlango wazi!!
Dah!
sitaki,
walioko nyumbani Kigoma, tuonane hapa, mnipe bei za vyumba.