Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
haha...bas mkuu kwa heriiikwa kheri ya mkono wa kiswahili hiyo siyo, mkono wa kwa kheri [emoji108] [emoji108]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha...bas mkuu kwa heriiikwa kheri ya mkono wa kiswahili hiyo siyo, mkono wa kwa kheri [emoji108] [emoji108]
Baba ake alichezea ujana...Nyumbani kuzuri alafu unaulizia bei ya vyumba?
twenzetuSafi sana na mimi najiandaa kuchukua Adventure kurudi kwetu Kigoma kijijini kwetu Muyamaaaaaa
kwani ukirudi kwenu unaenda kwa babako we demu?Baba ake alichezea ujana...
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Magufuli kiboko Kigoma pazuri sahivi.
kwa maneno yako inaonekana na wewe umepakumbuka, twende, 'mkataa kwao ni mtumwa'Nenda kapige mikekee, masembe, mnyemwe, ngazi za hote, mteke, nonzi, Sompo-mabele, kivunde n.k.
Nimependa hiyo list mkuuNenda kapige mikekee, masembe, mnyemwe, ngazi za hote, mteke, nonzi, Sompo-mabele, kivunde n.k.
Upo serious kweli mkuuMREJESHO SAFARI YA KIGOMA.
________________________________
Baada ya kukuta kigoma napo wanaisoma namba niliamua kurudi kupitia njia ya uvinza mishamo mpanda....
Tulipokaribia mpada, tukiwa tayali eneo la mjini, Gari tulilopanda, (Adventure) liliigonga fuso kwa nyuma na kuiangusha pembeni ya barabara huku gari letu likiwa limeharibika kwa mbele kutokana na ajali hiyo!!
Namshukuru Mungu, baada ya hapo tulibadilishiwa gari tukaendelea na safari na tulifika salama!!
ha ha ha ha!Dah.. Kweli Makonda si wa mchezomchezo[emoji12] [emoji12]