ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Sipati picha mimi jamani. Wakikutana wanacheeeka mpaka wanagaragara. Esther anamwambia mumewe eti bebi wameniambia nifute picha zako huko inta sijui wanafikiria sijui sura yako[emoji16]?David anajibu usijali waambie hutaki hata kuniona.