NYUMBANI KWANZA:Filamu Bora Za kibongo!!!

NYUMBANI KWANZA:Filamu Bora Za kibongo!!!

basi sawa ngoja nijaribu na mimi kuziangalia maana nliacha kuzitizama movie za kibongo miaka mi2 iliyopita kutokana na kuchoshwa na vituko kama"jambazi anavamia nyumba uku akiwa mpeku! apo viatu amevua asichafue nyumba ya watu" mzimu unavuka barabara huku unaangalia kushoto na kulia! mtu anaamka asubuhi ukimwangalia unaona ma wanja na mapouda n.k.. eti ngoja niwaulize swali hivi bado scenes zao zinaonesha"jumba zuri,ofisini, beach na gari tu???

Swahiba ukitaka kusaidia tasnia ya filamu nchini kwako ni vyema uwe na jicho la tatu.....critics wapo duniani kote....even hollywood movies huwa zina makosa yao kwa kiwango chao.......na vilevile na wao wana story zao zinazoshahibiana na lifestyle yao au wanayotaka kuwa nayo.......Ukiwa mfuatiliaji mzuri...utakosoa mapungufu na utaona kati ya wanaojitahidi......Hata Nigerians,SouhjAfricans wako juu kwa kupenda vya kwao....kususa au kukandia tu sababu umeudhiwa na films mbili tatu si vyema atiiiiiiiii!
 
Back
Top Bottom