Nyumbanitu: Msitu wa ajabu mkoani Njombe wenye kuku weusi, ng'ombe weusi, mbuzi weusi na kondoo weusi

Nyumbanitu: Msitu wa ajabu mkoani Njombe wenye kuku weusi, ng'ombe weusi, mbuzi weusi na kondoo weusi

Hao kuku ulioweka hapo ni wa malawi umetoa google....
Kwa mujibu wa mtoa mada; katika maelezo yake yeye aliandika: Maajabu ya msitu huo ni uwepo wa kuku weusi wenye midomo myekundu ambao wahifadhi wanasema kuwa kuku hao hawazeeki, hawafugwi na wala hawaliwi....n.k.
Ni kweli hiyo picha sio ya kuku wanaopatikana msitu wa Nyumbanitu e.g. hao pichani ni weusi lakini hawana midomo myekundu. Nakubaliana na wewe ni wa Malawi au mahali pengine mtoa mada amedownload labda ili kurahisisha mada ieleweke zaidi.(Mm sio niliyetoa mada husika na sijaweka picha yoyote kwenye komenti zangu)
 
Back
Top Bottom