Nyundo 3 ndani ya JF.

Bestito hongera sana
Mungu akulinde na kukupa afya njema ili uendelee kulisukuma gurudumu la jf
:smash::smash::smash:
 
Umofia kwenu wadau,
Leo nimetimiza miaka mi3 ndani ya JF,shukrani kwa members wenzangu,mods kwa ushirikiano wenu,sijawahi kula ban ndani ya miaka yote hyo kwani uzi wa Invisible how to use JF upo kichwani wote!! Pamoja sana!!!
bahati yako na hongera uendelee na moyo huo huo.
 
mkuu huu mwaka wa nne unaouanza ungefanya mpango wa kupatapo japo kaban kamoja ka ukumbusho. mweeeh!!!
 
Congrats King..kila la kheri.
 
hongera sana mmenye...kama vipi twende kwa mama tony tukajipongeze na sahani za kipunga kichafu!!!
 
hongera sana mmenye...kama vipi twende kwa mama tony tukajipongeze na sahani za kipunga kichafu!!!

Hahaaaa Mmenye leo juma4 nadhani unajua ratiba ya mzee john kwamba kuna kitei...kipunga kichafu kesho hahahahahaaaa
 
Hongera sana. Inaelekea una uvumilivu na subra ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…