Nyundo 3 ndani ya JF.

Nyundo 3 ndani ya JF.

Umofia kwenu wadau,
Leo nimetimiza miaka mi3 ndani ya JF,shukrani kwa members wenzangu,mods kwa ushirikiano wenu,sijawahi kula ban ndani ya miaka yote hyo kwani uzi wa Invisible how to use JF upo kichwani wote!! Pamoja sana!!!

Ongera Kamanda
 
Maandishi hayafutiki
 
Kabisa Mkuu ,Tunaweka Kumbukumbu sawa.

How it started(3 Yrs) and How It's going (10 years) - Kwa Hisani ya Twita Repabliki.
Ukimuona kazeeka jua kakwepa mishale mingi
downloadfile-6.jpg
 
Back
Top Bottom