Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Hongera sana King Kong.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umofia kwenu wana JF,
Leo nimetimiza miaka mi8 tangu nijiunge ramsi ndani ya JF na miaka 10 tangu kuijua JF,shukrani kwa members wenzangu,mods kwa ushirikiano wenu,Nimekula ban mara moja tu siyo ya kukwaruzana na mtu bali kwa kuweka picha moja kwenye thread nne tofauti(Nadhani Mods walichukulia kama SPAM). Pamoja sana!!!
Wenu katika Ujenzi wa Taifa.
From MINJINGU.
Umofia kwenu wana JF,
Leo nimetimiza miaka mi8 tangu nijiunge ramsi ndani ya JF na miaka 10 tangu kuijua JF,shukrani kwa members wenzangu,mods kwa ushirikiano wenu,Nimekula ban mara moja tu siyo ya kukwaruzana na mtu bali kwa kuweka picha moja kwenye thread nne tofauti(Nadhani Mods walichukulia kama SPAM). Pamoja sana!!!
Wenu katika Ujenzi wa Taifa.
From MINJINGU.
Hahaha asee nitakuwa makini sanaBan dahh!! ni mbaya sana " kama upo addicted na Jf ukipigwa ban utajihisi kuwa umepelekwa kuzimu
Hawapo namaanisha enzi hizo jamaa anajiunfa humu nilikua sijawahi kutumia smartphone zaidi ya kucheza game kwenye nokia jeneza ya broKwahiyo Baba na Mama wapo humu?
OkeyHawapo namaanisha enzi hizo jamaa anajiunfa humu nilikua sijawahi kutumia smartphone zaidi ya kucheza game kwenye nokia jeneza ya bro
Wewe ulikuwa wapi wakati huo?Okey
Miaka hyo nipo form fourWewe ulikuwa wapi wakati huo?
Kwahiyo una 28? nimewaza tu,😛Miaka 10 iliyopita ndio nilikua namaliza kidato cha nne
Basi hilo shepu nikajuaga ni bonge ya msisteri yani mpaka hata kuzama PM huwa naanya anya.. Kumbe bado nyoka tuMiaka hyo nipo form four
HafikishiKwahiyo una 28? nimewaza tu,😛
YeaKwahiyo una 28? nimewaza tu,😛
Miaka 28 midogo hiyo?Basi hilo shepu nikajuaga ni bonge ya msisteri yani mpaka hata kuzama PM huwa naanya anya.. Kumbe bado nyoka tu
Nimefikisha na nimeanza 29Hafikishi
Basi wengine tulisoma tukiwa wadogo..Miaka 28 midogo hiyo?
Bora umemjibu,naona yeye alikua anaujua umri wako kuliko wewe mwenyewe!😀Nimefikisha na nimeanza 29