Nyundo 8 ndani ya JF.

sio katuni tu hata eski anajua kudownload
 
Nazani tupo sawa kwa ID hii, Mi nilijiunga I'd ya kwanza 2007, I'd ya kwanza nilisahu password..


Niilijua JF kupitia #MzeeMWanakijiji, kipindi anaandika makala Katika mwanahalisi, akawa anaweka email address, Katika @aliweka JamiiForums
 
Poa Na Hongera

Hongera mkuu.. Kwahiyo sherehe itakua minjingu au?
[emoji121] Haahahaa nitaifanyia AICC,You are Welcome!!
Hongera mkuu
Pamoja mkuu
hongera sana me kpnd hicho hata sijui npo la ngapi
Poa Na Hongera
hongera sana me kpnd hicho hata sijui npo la ngapi
Thx a lot guyz.
 
Mm niliingia JF 2009
nimeshakula BAN moja kule Jukwaa la WAZEE
nikaingia PM kwa Mod fulani akaangalia sababu akanifungulia
usiombe kupigwa BAN bora upumzike mwenyewe kuliko kulazimishwa usichangie JF
Mzee Ukwaju Mm nimejiunga 2010 lakini hilo jukwaa LA Wazee Sijawahi lifikia..kuna ñn Huko? Nishawah kuwapm moderators waniunganishe bila mafanikio
 
Ooh hongera sana. Ni kwa kiasi gani JF imebadilisha maisha yako? + au -
[emoji121] Nimepata faida nyingi sana tangu nijiunge na JF,kibiashara,hata idea ya kuuza mkaa nimepata humu,nimepata demu kupitia JF,nimepata marafiki wengi sana via JF,nimetanua ufahamu kwa dezas za JF na mengine chini ya kapeti.

Hongera sana King Kong.
Hongera mkuu King Kong III tupo pamoja.
Hongera King Kong

Hongera sana
kila la kheri mkuu uzidi kugonga Nyundo
Poa Na Hongera

Thx a lot guyz.
 
Mzee Ukwaju Mm nimejiunga 2010 lakini hilo jukwaa LA Wazee Sijawahi lifikia..kuna ñn Huko? Nishawah kuwapm moderators waniunganishe bila mafanikio
Duh hili Jukwaa tena halipo
naona mambo ya kisiasa, tulikuwa tunajadili mambo makubwa
hata magazeti wameyatoa km TZ Daima na wadaku wengi Jukwaa hilo halipo tena
 
Adharusi
umeielewa POST #52 ? hilo Jukwaa sio la kitoto au watoto ni kwamba HALIPO
watu humu wakibisha ni kupopolewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…